Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rangers striker Alfredo Morelos, reportedly a target for Aston Villa, says he has had no contact with any club but the Colombian, 23, added: "Many teams that would be offering a good amount of money for me." (Antena 2, via Birmingham Mail)
 
Mshambuliaji wa Rangers Alfredo Morelos, anayeripotiwa kuwa na nia ya kujiunga na Aston Villa, amesema hana mawasiliano na klabu yoyote lakini mchezaji huyo 23, amesema ''labda itokee timu itakayotangaza ofa nzuri kwake.''(Antena 2, via Birmingham Mail)
 
T. I ana miaka 39 lakini ana mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 18.
hongera kwake.
i wish ningelikuwa zaidi ya T.I.

hayo mambo ya bikira sijui hymen hayanihusu.
kama vipi amuwekee super glue mpaka atakapofika siku ya harusi ndio aibandue
Hiki kitu ni wewe tu jinsi utakavyojipanga bro, ila mwisho wa siku usije kukipa mateso kiumbe kisichokuwa na hatia... I mean uwe umejipanga tayali

Mfano Lil Wayne ana miaka 37,mwanae wa kike ana miaka 20,, raha iliyoje hii..
 
Hiki kitu ni wewe tu jinsi utakavyojipanga bro, ila mwisho wa siku usije kukipa mateso kiumbe kisichokuwa na hatia... I mean uwe umejipanga tayali

Mfano Lil Wayne ana miaka 37,mwanae wa kike ana miaka 20,, raha iliyoje hii..
ukijaaliwa uwezo then ukajaaliwa kupata mtoto mapema sana kuna raha yake, nachukizwa sana na wale waliojaaliwa uwezo wa kifedha na kiafya then wakatafuta mtoto wakiwa wameshavuka miaka 35.
mtoto wako anakwita baba, ukitoka nje unaitwa babu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…