Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ukijaaliwa uwezo then ukajaaliwa kupata mtoto mapema sana kuna raha yake, nachukizwa sana na wale waliojaaliwa uwezo wa kifedha na kiafya then wakatafuta mtoto wakiwa wameshavuka miaka 35.
mtoto wako anakwita baba, ukitoka nje unaitwa babu
Kweli aise, hii haijakaa vizuri kabsa,mimi watu wa namna hiyo huwa siwatofautishi na watu wabinafsi.
 
JAMANI JAMANI
Tuwe makini na vyakula vya njiani.
Kuna jirani yetu hapa yamemkuta.
Katoka kazini kafika stend akakuta pweza, basi akala pweza wa buku jero.
Akaomba na supu ya pweza ya mia tano akashushia.
Baadae akaelekea nyumbani kwake akamuomba maji ya kunywa, alipopewa akayanywa kisha mke wake akamtengea maji ya kuoga.
Baada ya kuoga akajumuika na familia kula chakula cha usiku wakalala.
Baada ya hapo sasaa, asubuhi kaamka kaoga kavaa vizuri kaenda kazini.
Kwa ujumla yuko vizuri kiafya.
 
Hapo mnamsema vibaya jay Z

Vipi wale wenye katoto kamoja tu wakati wa utajiri wa kutosha na hawana matatizo yoyote ya uzazi
Haha hata hapa kwetu wapo wengi sana, achilia mbali watu maarufu hata, watu wa kawaida tunaoishi nayo mtaan kila siku nao wapo hvyo..

Halaf unakuta kwao walizaliwa timu ya mpira, ila yy analeta uzungu mwingi na kujitia ujuaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…