Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti timu ya mpira. Na akikuta mtu ana watoto wa kutosha anaanza kulalamika yeye utadhan huwa anasaidia kuleaHaha hata hapa kwetu wapo wengi sana, achilia mbali watu maarufu hata, watu wa kawaida tunaoishi nayo mtaan kila siku nao wapo hvyo..
Halaf unakuta kwao walizaliwa timu ya mpira, ila yy analeta uzungu mwingi na kujitia ujuaji
umekula sembe mchana wa leo?JAMANI JAMANI
Tuwe makini na vyakula vya njiani.
Kuna jirani yetu hapa yamemkuta.
Katoka kazini kafika stend akakuta pweza, basi akala pweza wa buku jero.
Akaomba na supu ya pweza ya mia tano akashushia.
Baadae akaelekea nyumbani kwake akamuomba maji ya kunywa, alipopewa akayanywa kisha mke wake akamtengea maji ya kuoga.
Baada ya kuoga akajumuika na familia kula chakula cha usiku wakalala.
Baada ya hapo sasaa, asubuhi kaamka kaoga kavaa vizuri kaenda kazini.
Kwa ujumla yuko vizuri kiafya.
Ata performance kwa ujumla alikua low sana kocha hakufanya makosa kumtoaAah umekwepa point. Au wataka kusema kuhusu ile sub? Ee
Tabasamu limejaa sana usoni daah kumbe ulifatilia mechi mwanzo mwisho.Ata performance kwa ujumla alikua low sana kocha hakufanya makosa kumtoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha tumsaidie mwenzie La PurgaAah kumbe ningendako jibu hili hapa. Sasa anauliza mwenzake anayo mangapi. Mwenzie ni nani?
#mienimetajajinakabisaa
umekula sembe mchana wa leo?
ndio nini kututia presha?
hahahaahaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti timu ya mpira. Na akikuta mtu ana watoto wa kutosha anaanza kulalamika yeye utadhan huwa anasaidia kulea
nakutakia mchana mwema.Tena Sembe yenye udaga... Nimeshiba kweli hapa nilipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]king hayupo kwenye mood nzuri muda huu. Basi tu vile hatuonani anashindwa kuonyesha hali halisi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha tumsaidie mwenzie La Purga
Hahaha anaonekana tu, kapoa sana.. TH anatakiwa ajibu hili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]king hayupo kwenye mood nzuri muda huu. Basi tu vile hatuonani anashindwa kuonyesha hali halisi
Xz2$%^&*................
Duh! haya.......JAMANI JAMANI
Tuwe makini na vyakula vya njiani.
Kuna jirani yetu hapa yamemkuta.
Katoka kazini kafika stend akakuta pweza, basi akala pweza wa buku jero.
Akaomba na supu ya pweza ya mia tano akashushia.
Baadae akaelekea nyumbani kwake akamuomba maji ya kunywa, alipopewa akayanywa kisha mke wake akamtengea maji ya kuoga.
Baada ya kuoga akajumuika na familia kula chakula cha usiku wakalala.
Baada ya hapo sasaa, asubuhi kaamka kaoga kavaa vizuri kaenda kazini.
Kwa ujumla yuko vizuri kiafya.