Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
π wewe jamaa bhanacute davet mfuga sungura
Hii ni nadra kutokea.Aliyekuwa kivutio katika mchezo uliomalizika kwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Atalanta kwa upande wa Manchester City, alikuwa Kyle Walker ambaye ilibidi akadake baada ya Bravo kuonyeshwa kadi nyekundu.
Salamu, hbr za kupotea?Salamuni humu
humu tuko poa kama ugomvi utaanzisha wewe lakini bahati nzuri humu ndani muna walinzi watemi kuliko MP.Salamuni humu