Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Mornieee Mi-googleHow can i lose am with the best team
Good morning Likers
Niambie shem, mzima?
Ahaaaa kama nilikuona vile umelalia mikonoHuwa wanavuta kweli,siku ya kwanza unalala ukiwa umeshika tama
Single mother.Hakubaliki ana shida gani?
Mornieee Mi-google
Eti mi-gugo ' sijui iko mingapi [emoji4]
Shukran kwa ushauri. Je ikifika hatua mpaka mtu ukawa unakosa support ya familia kisa mwanamke inaweza kuwa hatari.Kwani umeshikiwa akili BabaMorgan fanya kile ambacho unaona kinakupa furaha na amani maana hao ndugu ww hawaji kukuzalia wala kukupikia humo ndani
Single mother.
Hahah, asante kwa salamu mdada mzuri, hopeful uko salama! Ukawe na jumamosi njemaThe Happiness mdada mwenye minywele yake, kipilipili nakusalimia [emoji3]