Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aya sasa.....acha drama itambe....


Mchekeshaji Ebitoke ameuvamia mkutano wa Mwigizaji Mlela na Waandishi wa Habari Dar es salaam na kutaka kupigana wakati Mlela akizungumza na Waandishi huku akiwa ameongozana na Mpenzi wake mpya baada ya kuachana na Ebitoke.
_
Wakati wa vurugu hizo Mwanaume anaeaminika kuwa Kaka wa Ebitoke alisikika akimwambia Mlela “umemuharibia maisha mdogo wangu, unafanya mambo gani?”
#Millardayo
 


😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…