Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nikweli bro ulinzi muhimu kuimarishwa, ata mimi sasa hivi naona kabisa nahitaji beki kama Kalidou Koulibaly maana clean sheet naipata kwa tabu sana siku hizi 😆Hahah
Mapinduzi huwa yanaanzia hivi hivi bro,kuimalisha ulinzi muhimu
[emoji23][emoji23][emoji23]Uzi huu ulishapoa baada ya wahenga kustaafu. Enzi zile ilikuwa ukizubaa tu unakuta ushapigwa chenga....
View attachment 1260698
Enzi zile nilikuwa na jakitoo wangu yaani ilikuwa ni roho mkononi big daddy nalala usingizi wa mang'amung'amu mpaka nikapunguza kilo kadhaa. We acha tu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha enzi za kutetemesha mazizi
Huu uzi tumetoka mbali sana
[emoji23][emoji23][emoji23]#MaliyandaniSiodhamanaYetu[emoji2088][emoji2088]
Ndio bro, mimi mwekundu..arsenal kawaida yenu [emoji16][emoji16]Oooh! Nilichanganya madesa. Kumbe wewe upo pamoja na Binti Mpole na Capital. Angalau jana mlipumua kidogo. Sisi Aseno tushazoea vipigo mpaka jana tukawa tunawashangaa akina Davet na malalamiko yao yasiyo na kichwa wala miguu [emoji16]
Safi sana
Hahah tatzo hiyo hashtag sasaHaha!!
Uko kwenye raiti traki
#mizigoyandanisiodhamanayetu[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23]enzi za call me dadiiEnzi zile nilikuwa na jakitoo wangu yaani ilikuwa ni roho mkononi big daddy nalala usingizi wa mang'amung'amu mpaka nikapunguza kilo kadhaa. We acha tu.
Hujambo lakini shemeji kipenzi?
Huku salama kabisa. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23]enzi za call me dadii
Mie mzima sana shem,sijui wewe huko
What if I told you, that I really like you?
What if I showed you, that maybe I could surprise you?
Would you be so kind to open up your mind and heart to me?
Would it be alright if we just ride along this road and see
That I can't be with anyone but you
Not anyone but you, because
I want it to be you
I want it to be you
(I want you)
I said "Hey, let's take a ride down the interstate-5
Even squeeze in a dinner for two"
Just in that moment, yes everything told me that I want you
To be the one who chase me up and gives me hope when I'm feeling lonely
And tell me everything will be alright
And when I cry, I know that I don't look the same
But could you tell me that I'm pretty anyway?
Could you be my one and only?
Could you be the one to hold me close
In the daytime, and in the night time
What do you say?
We can go to a place that I know you'll like
Like, what do you say
If I give my heart to you
Would you be my lover?
'Cause I want this life with you
No other one, no other
♪♪♫♫
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]