Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Simpo sana. Nitazima data tu halafu we utahangaika na mafaili yako weee. Nikija kurudi kimyaa kama vile hakuna kilichotokea. Na mafaili ya Wasukuma ninayo ya kutosha. Ukihitaji nyongeza sema nikusaidie. Wanyakyusa bana [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Umenishinda.
Ngoja nakusubiri tu kwenye mechi za livapuu na asernal,huku kwingine sikuwezi[emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…