Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Me RITA niliendaga mwaka 2014 nilipata huduma Poa sana... Sijui kwa7bu alikuwa ni ME!!
ME, hawanaga shida....nilikutana na sista duu mwaka 2017, nilighairi kilichonipeleka kwa muda
Mimi kuna sister duu alikua na mmama mmoja hivi walinihudumia vizuri sana.

Itakua ndio huyo sister duu wajo 😀😀😀.

Nawasalimu dada zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…