moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Amani itawale siku yetu
Mungu atupe afya na uzima..
Hata mimi ningekuhudumia vizuri tu maana......Mimi kuna sister duu alikua na mmama mmoja hivi walinihudumia vizuri sana.
Itakua ndio huyo sister duu wajo [emoji3][emoji3][emoji3].
Nawasalimu dada zangu.
Amani na upendo vitawale siku yetu...
#mbonakinyonge?Itakua.
#yaKawaidaTuu
11:49
Unahangaika nnView attachment 1264214
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mume amesimama ili kumkinga mkewe na jua kali... MashaAllahView attachment 1264245