moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Afadhali. Tupumzike na wale wazee wa "You will never walk alone"
Hahahaaa mie nawamiss sana
Dennis Bergkamp (Mechi 6)
Fundi wa mpira, Mdachi Dennis Bergkamp alikuwa moto kipindi hicho alipokuwa akikipiga kwenye kikosi cha Arsenal. Lakini, kwa ubora wake wote wa uwanjani na kupiga mabao makali, lakini alishindwa kufanya hivyo uwanjani Anfield.
Jumapili iliyopita, Man City walikwenda kucheza uwanjani hapo nan kukutana na kipigo cha mabao 3-1, lakini kubwa ni kwa straika wao namba moja, Aguero kushindwa kufunga bao kwa mechi 11 za michuano tofauti alizokwenda kucheza kwenye uwanja huo wa kibabe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vurugu za yule Mnyakyusa si za kitoto aisee. Acha tu wasicheze tupumzike. Na wakicheza basi wafungwe angalau. Kha !!!
[emoji24][emoji24]
Sijambo, shkamoo Kaka[emoji137]Hujambo bint
Are you blind ??? Huoni walivyofanana hizo pua na Baba yao ???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mi nishawahi kula za cabbage
Daah hii naitaka sana