Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
iPhone [emoji16][emoji16][emoji16]Unamajivuno
Watu wenye majivuno ni watu wabaya wanaochukiwa na kila mtu. Ikiwa unapenda majivuno, kwa hakika hutokuwa na rafiki, bali utatengwa na watu.
Tabia kama vile “nina simu kali sana”, “nina akili sana”, “nina pesa usinione hivi”, “mimi siyo wa kawaida kama nyie”, “kwetu mambo safi”, “wewe huna hadhi yangu”, n.k. ni baadhi ya tabia mbaya za majivuno.
Ikiwa unatamani watu wakupende na wawe karibu nawe, acha tabia ya kujivuna na kujikweza.
Pia ana maadui wa kutosha na comments za kejeli nyingiiPhone [emoji16][emoji16][emoji16]
Mbona Kiduku Lilo kajizolea umaarufu sana hapa JF?
Asubuhi ya chai
10:29