Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji120][emoji120][emoji120]
FB_IMG_1574027047272.jpeg
 
Alaaa...wewe siku zote huwa unaniita dada iweje leo unanigeuka? Mimi sipendi udada kwa kila mtu ila yule ambae anatakiwa kuniita dada heshima yangu anipe kwa kweli
Hahaha sikjawahi ita dada humu JF yaani sikumbuki hio siku. Hata maisha halisi sipendi hicho kitu maana sina dada hivyo sijawaza kumpa mtu hicho cheo nilichokikosa hapa duniani. Ila kaka ,anko naita vya kutosha maana wamejazana tele
 
Hahaha haya bwana, ila mimi napenda kweli kuitwa dada maana sijabahatika kuwa na mdogo wangu kwenye maisha halisi[emoji12]
 
Back
Top Bottom