Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Samahani kwa usumbufu wa kuuliza swali mkuu

Wanaposema wanaume wa dar wanamaansha nini haswa?

Aliezaliwa mkoa wa dar?
Aliekulia mkoa wa dar?
Anaeishi mkoa wa dar?
Nadhani ni ye yote yule mwenye tabia za wanaume wa Dar japo kundi aliyezaliwa na aliyekulia wanachukua nafasi kubwa zaidi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…