Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ahsante bro,
Niliuliza kwa niaba ya vijana wetu humu, naamini watayazingatia haya😀😀.
 
Unaambiwa ufalme wa Mungu unapatikana kwa nguvu nao wenye nguvu wauteka hapo utasemaje matendo hayamati
Mjadala mzito huu ila nijuavyo mimi ni kuwa hata ungekuwa mtenda haki/mema kuliko wote hapa duniani bila neema ya Mungu ni bure kwa sababu dhambi bado utazitenda tu.

Anyway, tuishie hapa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…