Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ahsante kwa darasa.Baada ya hapo, chemsha mchele, ongeza kitunguu saumu, mdalasini na chumvi kiasi kisha funika na pika taratibu hadi vilainike, pia unaweza kuongeza karoti au boga lililokwaruzwa (boga lililokwanguliwa).
Yego mbwembwe tu hakuna kitu hapo. Si ajabu hapo alipo hana nywila
Aje ajibu tuhuma kwakweli.Yego mbwembwe tu hakuna kitu hapo. Si ajabu hapo alipo hana nywila
Comment #8Hivi ukishindwa kuunganisha mabao ni kosa?
Ni kilio kutoka kwa jamaa yangu wa karibu sana, anadai kwamba demu wake anamlalamikia kwamba, hamridhishi kwasababu haonganishi mabao wakiwa wanafanya sex, sasa anaomba ushauri afanyeje ili aweze kulinda mahusiano yake, ? Tumsaidien huyu jamaa ili aishi kwa furaha kama zamani.www.jamiiforums.com
Aina hiyo ya mlenda ipo na mbeya ila huku kwetu hatuuiti kwa Jina hiloUmeujuaje mwidu?
Hapana...Asee, ulipitia madrassa Anne
Neema inatufundisha kuukataa uovu na kutenda memaMjadala mzito huu ila nijuavyo mimi ni kuwa hata ungekuwa mtenda haki/mema kuliko wote hapa duniani bila neema ya Mungu ni bure kwa sababu dhambi bado utazitenda tu.
Anyway, tuishie hapa....