Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
POA,mzima?Mambo Anne
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maskini Baba wa watu[emoji14][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila watu wabaya. Tyson walimuacha hivi hivi bila kumrekebishia vifungo vya koti tena mbele ya hadhi ya kitaifa kabisa...
View attachment 1267013
[emoji36][emoji36][emoji36]View attachment 1267023
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 1267045
Bao habari nyingine wewe usisingizie Wasukuma. Shigongo ametajirika kwa kuandika habari za watu waliozima wakiwa kifuani halafu we unaleta blah blah za Kisukuma hapa?
View attachment 1267073
Hii umeisoma itakuwa [emoji16]
POA,mzima?
Ila watu wabaya. Tyson walimuacha hivi hivi bila kumrekebishia vifungo vya koti tena mbele ya hadhi ya kitaifa kabisa...
View attachment 1267013
Huyu jamaa naye huyu. Upinzani wa hovyo tu wa kioga oga usio na sera. Kesho na kesho kutwa unakuta hata yeye mwenyewe kahamia CCM. Wanasiasa hawana hata aibu !!!
Umeshawahi kupenda kabisa kabisa jumla halafu ukapigwa chini? Watu wanakondaga ati! Na wengine hupitiliza hata kujitoa uhai. Jikalie kimya tu kama bado [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kutokula Ni uzembe tu[emoji1787]