Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahahahahaa moud banaKuna muda nasoma, hasa napoona makala ndefu ndiyo hupenda kuzisoma, hata hivyo nimekuwa nikiambulia kusoma porojo na mizaha.
Uamuzi wa sasa ni likes na kusonga mbele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hey Depal,
Naona jamaa amegoma kupigwa exile [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1267076