Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

utamu wa maji ni chanzo chake babuuuuu.
hebu acha ulimbukeni na ushamba.
wasukuma muna tabu kweli miaka hii mitano
ndio maana sehemu ya kuvaa kanzu munavaa sare za jeshi.

==================
kwani babu bado unatumia mtungi nyumbani kwako?
Karibu tena Mpemba weye. Kuna sembe linakungoja hapa Ikungulyabashashi
 
Ushafika. Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
nimekuja kidemokrasia.
nitaheshimu uhuru wa kila raia.
ukila sembe shaurilo
ukila wali shaurilo

aliyekununulia kitambaa ndio akutafutie na mshono ndivyo wasemavyo wanawake wa mjin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…