Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kujua majina kazi nyepesi anza kwanza kuangalia sura zao kisha utaona handsome hao hao anza nao kufatilia majina yao na uchezaji wao.Niambukizeni na mimi angalau niwe shabiki damu wa mpira.
Timu yangu simba ila sijui hata jina moja la mchezaji.
Kwenye timu hapa nilishakuchagulia.Nichagulie timu mpendwa sitaki ya kunipa stoke na uhenga wangu nikajifia[emoji16][emoji16]
Basi moja kwa moja upo livapuu maana ndo tushashinda hivyoMimi hushangilia anaeshinda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nitaongeza fujo nikiangalia mechi[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ninazomea hata mechi zenyewe sikuangalia maskini Mimi[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]enzi hizo sijui pemba ni wapi,classmate mwenzangu akaniambia yeye mpemba nikashangaa ina maana kwao wanakula pemba dailykwani huko kwenu wanawake wamekwisha hata muje kwetu?
Mimi silii meee[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1267582
[emoji23][emoji23]
Kama SYB..Ujasiri mzuri ni kushangilia arsenal
Mungu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani wewe ni sabufa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiii[emoji23][emoji23]ugonjwa wa moyo unamuita
hahahahaaaaaaaaaaaa you make me laugh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]enzi hizo sijui pemba ni wapi,classmate mwenzangu akaniambia yeye mpemba nikashangaa ina maana kwao wanakula pemba daily
Ulijua pemba ni chakula?[emoji849][emoji849][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]enzi hizo sijui pemba ni wapi,classmate mwenzangu akaniambia yeye mpemba nikashangaa ina maana kwao wanakula pemba daily
Watafiti walishasema wenye kelele mtandaon ni wakimya sana uraiani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu najua kuzomea tu kwa keyboard..
Kuongea siwezi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanakuja kuchangamsha damu zilizopoa kwa urojo.kwani huko kwenu wanawake wamekwisha hata muje kwetu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asione daemusinUlijua pemba ni chakula?[emoji849][emoji849]