Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Huwa naingia kwenye thread ya man u Kila wakicheza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiii
Watafiti walishasema wenye kelele mtandaon ni wakimya sana uraiani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila sio mkimya Sana.Watafiti walishasema wenye kelele mtandaon ni wakimya sana uraiani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usiniambie hujawahi ingia uzi wa liver wakifungwa au kuchelewa kushinda,wanamatusi hao hadi kapten wao wanamuita hendoshogaHuwa naingia kwenye thread ya man u Kila wakicheza [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani huko huwa natamani nizimie kwa kicheko.
Unakuta"oh Pogba mzembe"utadhani Pogba atacheza mwenyewe ashinde
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asione daemusin
wanaume wengi kutoka bara ni washamba ndio maana hatuwaozeshi ndugu zetu.Wanakuja kuchangamsha damu zilizopoa kwa urojo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila sio mkimya Sana.
Ni bahati mbaya tu Sina spidi ya kuongea mdomoni[emoji1787][emoji1787]..ningekuwa nayo walahi wangenikoma[emoji23][emoji23][emoji23].
Ila kucheka najua...yaani nacheka haswaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kijinga[emoji23][emoji23][emoji23]
Muongo sio kweli omba msamaha😁😁wanaume wengi kutoka bara ni washamba ndio maana hatuwaozeshi ndugu zetu.
mwanamme anakaa na minywele yake ya chini mwaka mzima kama kima, ebooooooohhhh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi siwezi kwakweli.
Huwa nakuwa team inayocheza aganist bae,fujo zake sasa
Saint anne akasome[emoji23][emoji23]
Hii man u special thread inanivutia Zaidi.Moja ndio hio nyingine zipo jf photo uzi kabisa,inafurahisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sura za kisukuma huwa hazibadiliki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi kabisa,tena anza kukariri majina ya wachezaji
Njia nyepesi anzia wenye sura nzuri kisha fatia wenye sura kama urojo wa akina daemusin kisha wale sura ya sembe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii man u special thread inanivutia Zaidi.
Huwa najizuia tu kuweka emoj za vicheko nisije shushiwa mvua ya mitusi[emoji1787][emoji1787]
Liver Tena nikose![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usiniambie hujawahi ingia uzi wa liver wakifungwa au kuchelewa kushinda,wanamatusi hao hadi kapten wao wanamuita hendoshoga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaah nyumbani ni nyumbani. Achana na presha tutasiriba kwa vidonge. Welcome man uNichagulie timu mpendwa sitaki ya kunipa stoke na uhenga wangu nikajifia😁😁
niombe msamaha kwa kosa lipi.Muongo sio kweli omba msamaha😁😁