Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Numbisa mama hivi Jana ulisema Nini kuhusu masikio ya huyu mtumishi?[emoji1787][emoji1787]
mbona sijawahi kukuonaHii man u special thread inanivutia Zaidi.
Huwa najizuia tu kuweka emoj za vicheko nisije shushiwa mvua ya mitusi[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mle wana presha sana. Kule man u asilimia kubwa wanaotukana ni mashabiki wa timu pinzani. Wakati kwa liver wanatukanana wao kwa waoLiver Tena nikose[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani ile mechi tumeanza na kupigwa..yaliporomoshwa matusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Yaani huwa nacheka tu kimyakimya.
Kuna wachambuzi wazuri wa mpira kule,huwa nikiingia natoka na Kitu.
Nilisema Mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaah nyumbani ni nyumbani. Achana na presha tutasiriba kwa vidonge. Welcome man u
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilisema Mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawachi chondechonde usimsikilize huyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa napita kimya.mbona sijawahi kukuona
Wewe endelea kucheza bao huku ukinywa kahawa hapo wete.niombe msamaha kwa kosa lipi.
sisi tumewafundisha kukoga kwa sabuni.
tumewafundisha kunywa chai na zamani ilikuwa hata chai hamunywi. muda wote munawaza jembe kama udongo.
halafu sasa tukishawaozesha mabinti zetu unakuta muda wote amshughulikie mwanamme asiyejielewa.
akitoka kazini ananuka jashoooo kama mbuzi, basi mpaka kukoga akumbushwe na mwanamke.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana SI wewe ulisema masikio makubwa sijui Kama Nini vile[emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio mie jamani ila nimeona sehemu wanamsema kuhusu mdomo wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio mieee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana SI wewe ulisema masikio makubwa sijui Kama Nini vile[emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Namkaribisha livapuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wanaume wa bara wengi wao ni wezi.Wewe endelea kucheza bao huku ukinywa kahawa hapo wete.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio mieee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahahaaaaaaaaaaaa you make me laugh
Sijawahi kuona mtu mwongo kama wewe πππwanaume wa bara wengi wao ni wezi.
kuna binti alirudi kwao kwa sababu mume wake anamuibia nguo zake.
Ndiyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mle wana presha sana. Kule man u asilimia kubwa wanaotukana ni mashabiki wa timu pinzani. Wakati kwa liver wanatukanana wao kwa wao
alidhani pemba ndio biryani.Ulijua pemba ni chakula?[emoji849][emoji849]
Yuko wapi huyu kamanda? Mbona hasikiki siku hizi?