Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
RIP....

Kuna wana huko wanamwandama mtoa taarifa
 
Kikoje hichi Great Thinker? Nikisome?
Kinaelezea kabila moja wanajiita The Shulkas, who are fierce warriors who never lost a battle for 700 years, but one day wakiwa wamejisahau na kuwapuuza adui zao wa muda mrefu hao adui wakaja na mbinu mpya za kivita pamoja na uchawi na kuwaangamiza The Shulkas. Sasa Shulkas wakawa wanafanya kila jambo kuishi na kupamban baada ya taifa lao (Jin)kuvamiwa.

Hizo hapo picha ndiyo misemo ya hao The Shulkas
 
Heshima yako sana GT. Nitajitahidi nikisome...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…