Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shwaini zenu. Mtakaporomoshea magoli katimu ka watu halafu mtakuja hapa na mbwembwe zenu. Hasa kale Kanyakyusa kanashabikia dah. Inabidi tu mtu uzime data kwa muda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo tule maparachichi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nawaambia Kila siku hakuna timu Kama Liverpool [emoji1787][emoji1787]
 
Numbisa nakusalimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwite na yule mwenzio mliyekuwa mnanitunishia misuli ya crystal palace[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Niliwaambia Mimi kwamba tutawafunga tu,mkasema ooh nadhani crystal palace wamejaa tu vitambi[emoji14]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…