Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikimfukuza liva nitakuwa nimemuonea ila nitamsaidia aache kushangilia timu za kishamba Kama Simba.
mswahili habadiliki ndio maana nikashauri umuondoe kwenye list ya mashabiki wa liverpool.
huwezi kuwa mshabiki wa liverpool na muda huo huo ukawa na sifa za kunguni.
jogoo awe juu milele.
ushindi bila ya salah una raha yake.

simbaaaaa asiye na nguvu za kiume ameshikwaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
moudgulf eti nikuondoe liver??
 
Hakuna ugomvi,
Bi mdogo namfundishi njia sahihi za kushangilia mpira.
Yanga nawaachieni wenyewe
kazi kwako.
ubavu wa kukutetea sina ila nguvu ya kuchochea kuni ninayo
babu SHIMBA YA BUYENZE ubavu hana, anamuogopa mjukuu wake utadhani aliona nyeti zake
Numbisa ubavu hana
Davet amekimbia baada ya kupokea kipigo
 
Nasubiri mnifukuze ili nikate rufaa[emoji23][emoji23]
kwani huwezi kumfukuza liverpool.
inakuwaje analeta mambo ya kishambaaaa haliyakuwa anashabikia timu kutoka londoniiiii
simbaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikimfukuza liva nitakuwa nimemuonea ila nitamsaidia aache kushangilia timu za kishamba Kama Simba.
 
Kumbe mkorea nawe mpira unajifunzia ukubwani?
Katika hizi timu 5, Man United, Liverpool, Man City, Chalsea, Arsenal kuna timu hapo haijawi kufungwa bao 5?[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
huyo mzee anatia aibu.
anakufanya uwe uncomfortable mbele ya hadhira.
unapendaje timu iliofungwa tanoooooo.
simbaaaaaaa
 
Kumbe mkorea nawe mpira unajifunzia ukubwani?
Katika hizi timu 5, Man United, Liverpool, Man City, Chalsea, Arsenal kuna timu hapo haijawi kufungwa bao 5?[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
ngoja nimwite dada mkubwaaaaaa
Saint anne huyo brother mbona mbishi.
anasema liverpool imefungwa magoli matano.
labda itakuwa liverpool ya king kenny dalglish
 
Hahahaha, sitaki utetezi wenu ila kuchochea kuni ruksa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kazi kwako.
ubavu wa kukutetea sina ila nguvu ya kuchochea kuni ninayo
babu SHIMBA YA BUYENZE ubavu hana, anamuogopa mjukuu wake utadhani aliona nyeti zake
Numbisa ubavu hana
Davet amekimbia baada ya kupokea kipigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…