Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata Gerrad naye ni wa jana tu, labda ungesema enzi za Phil Bab, David James, Mark Wright, Steve Collymore, Jamie Redknapp na wengine.
Ni zama ambazo liverpool imepiga mpira mkubwa lakini hauna matokeo ya ushindi
Nitake radhi[emoji23]
Mohammad salah anaingia juzi liva anapenga tukamasi tunamuona.
Mimi ni mhenga tangu enzi za kina Gerald
 
Hata Gerrad naye ni wa jana tu, labda ungesema enzi za Phil Bab, David James, Mark Wright, Steve Collymore, Jamie Redknapp na wengine.
Ni zama ambazo liverpool imepiga mpira mkubwa lakini hauna matokeo ya ushindi
Sawa Zama za kina Gerald Ni za juzi ila haibadili ukweli kuwa Simba sio timu[emoji23][emoji23]
 
Hahahaha, [emoji23][emoji23]Simba ina level moja na livapoo [emoji23][emoji23].
Ila ufahamu kuna watu walijiunga na liver baada kuona mafanikio.
Wakati sisi tukisulubika kwa aibu wao walikuwa kwenye timu nyingine
halafu afahamu binadamu hatufanani kiumri.
tunaweza kutofautiana kiumri lakini tukafanana kwenye machaguo yetu.
yeye amependa liverpool tokea 1980
tuseme wewe umeipenda liverpool jana lakini haiondoi uhalisia ya kwamba simbaaaaaaa ni timu ya ovyoooo
 
Hahahaha, [emoji23][emoji23]Simba ina level moja na livapoo [emoji23][emoji23].
Ila ufahamu kuna watu walijiunga na liver baada kuona mafanikio.
Wakati sisi tukisulubika kwa aibu wao walikuwa kwenye timu nyingine
Tema mate chini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Livapuu inafanana na Nini??
 
Hahahaha, [emoji23][emoji23]Simba ina level moja na livapoo [emoji23][emoji23].
Ila ufahamu kuna watu walijiunga na liver baada kuona mafanikio.
Wakati sisi tukisulubika kwa aibu wao walikuwa kwenye timu nyingine
wengine walikuwa bado wadogo.
wewe umemuona gerarrd muller na sisi wengine tumemuona janker, effenberg.
sote tunaunganishwa na lengo moja la kuishabikia germany.

hivyo basi bidada yupo sahihi, ukiwa karibu yake usimletee habari za simbaaaaa
hahahahahaaaaaaa chocheaaaaaaa kunii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…