Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha, chochea chochea mkorea
 
Wewe brother yawezekana midundiko ya Simba ya Jana imekuchanganya kichwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata akija SYB na numbisa watakushangaa hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ameshindilia bakuli la urojo mchana wote huu.
naomba umsamehe
itakuwa account yake imevamiwa
 
bora uangalie marejeo ya liverpool dhidi ya man city utaburudika kuliko kuangalia live match kati ya simba na JKT
Kabisa..Bora kuangalia marudio ya mechi ya liva hata Mara kumi.
Kulikoni kuangalia mechi zisizoeleweka na kuupoteza muda kumsikiliza mpiga taarabu yule jamaa Kama amelamba pilipili[emoji23][emoji23]
 
hapo ndipo unapokosea kaka mkubwa.
simba haijafikia hata level za al ahly ya misri
Msamehe Bure,hajui alisemalo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nina wasiwasi wapinzani washaanza kuturoga liva[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..huyu brother washamvuruga
 
Msamehe Bure,hajui alisemalo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nina wasiwasi wapinzani washaanza kuturoga liva[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..huyu brother washamvuruga
yote kayataka babu SHIMBA YA BUYENZE
akija leo lazima akutane na hukumu nzito kutoka kwa jaji malaika mtakatifu
 
Itakuwa alimeza hizi dawa.
Maana dar nako Kuna mbu,yawezekana hata malaria haijamuisha kichwani [emoji23][emoji23][emoji23]
ndio maana anapost ujinga kule instagram.
baada ya kugundua ya kwamba jamaa ni empty set nimeacha kuifuata account yake.

nimeamua kufuata ushauri wako

 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
itakuwa babu aliomba vibaya dua yake.
yule babu na yeye si mzima kichwani mwake ndio maana muda wote anawaza matako ya wasichana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki ya Nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…