Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

res judicata
hili neno naomba ufafanuzi wake
babu shimba najua huwezi kuniangusha

a judgment, decree, award, or other determination that is considered final and bars relitigation of the same matterthe trial court interpreted the earlier order as a dismissal with prejudice and thus res judicata as to the subsequent complaint— Southeast Mortg. Co. v. Sinclair, 632 So. 2d 677 (1994)
also : the barring effect of such a determination
 
Sheria aisee sijui cho chote japo nina mpango wa kusoma LLB mwaka ujao wa masomo Mungu Akipenda
 
Mshambuliaji wa Manchester City na England Raheem Sterling, 24, hatotia saini kandarasi ya £450,000 kwa wiki hadi pale atakapothibitisha kuwa mkufunzi Pep Guardiola atasalia katika klabu hiyo kwa kipindi cha muda mrefu. (Sun on Sunday)
 
Mkufunzi wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer anaamini hatowasajili wachezaji anaowalenga katika dierisha la uhamisho la mwezi Januari na sasa atalazimika kutafuta uhamisho wa mkopo badala yake. (Sunday Telegraph)
 
[emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
View attachment 1271240
Naona unauma na kupuliza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Baada ya kushindwa kutufunga liva,Leo mmeona mnivuruge kwa kusema liva na Simba ni sawa .
Endeleeni..mnachokitafuta mtakipata[emoji23][emoji23]
 
Borussia Dortmund inataka kumsaini mshambuliaji wa Tottenham na Jamhuri ya Ireland kaskazini mwenye umri wa miaka 17 Troy Parrott, huku pia klabu ya Ujerumani ya Bayern Munich ikiwa na hamu ya kutaka kumsajili . (Sunday Express)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…