Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Unajua kuna mipango nilikua nayo ndio maana sikutaka ulete balaa.Lawama lazima zifike kwako kwa kuwa uliamua ule ugomvi kwa nini usiniache nimvunje taya za meno huyu mla urojo πππ
Ayayayaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]madameeeee Saint anne
leo umesali kanisa ganiiiiiiii
babu shimba kumbe ni mshabiki wa manchester united, naomba umuandalie speech nzito kama mechi itamaliza hivi.
View attachment 1271525
Serious kwetu mimi ni wa mwisho enzi hizo dada zangu walikuwa kazi hawagusi ni kujipamba kila kitu nifanye mimi nilikuwa sikubali kazi tufanye woteπππMtundu sana wewe.
Nimekushtukia mapemaπππ
Niliwamiss pia mpendwa..Mambo Safi
Tuliku miss mno karibu tena kwenye like
πππππππHawachi unanitafuta kwa taa ya kibatali
usinione nipo kimya hizo comment zako zote nimeshazisoma.
kama unadhani huyo jamaa aliyefukuzwa na bae wake akatoka ndani na kichupi kama mpiganaji wa mieleka atakuombea basi unajidanganyaaaaaa
nimesikia muda huu yupo chooni anaharishaAyayayaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndiyo Maana simuoni Numbisa humu ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ni Aseno. Ila hawa Man U wakiendelea hivi mwaka kesho nahamia kwao [emoji16][emoji16][emoji16]madameeeee Saint anne
leo umesali kanisa ganiiiiiiii
babu shimba kumbe ni mshabiki wa manchester united, naomba umuandalie speech nzito kama mechi itamaliza hivi.
View attachment 1271525
halafu leo wapinzani wako wote wapo manchester united kwa muda.Hivi Manchester Wana matatizo gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ina maana babu unapenda sana shidaaaMimi ni Aseno. Ila hawa Man U wakiendelea hivi mwaka kesho nahamia kwao [emoji16][emoji16][emoji16]
"Liverpool miatano,nimesikia muda huu yupo chooni anaharisha
Tatizo ni ratio ya hizi sexes....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ni Aseno. Ila hawa Man U wakiendelea hivi mwaka kesho nahamia kwao [emoji16][emoji16][emoji16]
Kufungwa kuna raha yake [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ina maana babu unapenda sana shidaaa
Unapumua kweli Mnyakyusa? Au moshi wa ushindi wa Livapuu (na Simba) umekubana?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#Mbumbumbufc
Manchester [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Numbisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mwenzako hajafungwa lakini cha moto amekionaKufungwa kuna raha yake [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Manchester bomu sana. Ni sawa sawa na Simba tu au Livapuub[emoji16][emoji16][emoji16]Hivi Manchester Wana matatizo gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeachiliwa? Pole bro....Aisee! Hali ni tete kwa majirani zetu [emoji3]