Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
Nimesema kikiisha utanipa matokeo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siyo lazima wachaguliwe, kule kuitwa kwenye kinyang'anyiro hicho tayari ni mafanikio tosha
Amin[emoji120][emoji120][emoji120]Tumuombe Mungu atujaalie siku njema na wiki yote iwe yenye heri na baraka kwetu
[emoji28][emoji28][emoji28] Yani najikutaga nimeachwa jikoni
Za kuadimika King?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]The Happiness hafai aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]