Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kuna mtu haonekani humu maana saa hiz tayari zingekuwepo pole za kutosha
amekuja mara moja baadae akaondoka.
mkuu kwani huna taarifa kama yule jamaa ameongeza mke wa nne ndio maana yupo bizeeee.

pole mke wangu wa kwanza
pole mke wangu wa pili
pole mke wangu wa tatu
kula raha mke wangu wa nneeee
 
ha ha ha itakua mke wa tano kashikilia nywila
mara hii amekwenda tangaaaaaa

mke wa nne: baby (myoyambendi) nataka uache kuandika post za kutoa polee ukiwa chumbani kwangu kwenye ile thread inayo ongozwa na msukuma mwenye kichwa bapa kama mkate wa boflo, ukiwa mbishi utakula sembe tupu bila ya mboga, mdalasini, vitunguu maji, vitunguu thoum na hiliki

myoyambendi: sawa mama mdalasini, nitakuwa naweka post za hongera kuanzia sasa.
mke wa nne: hata post za hongera usiweke, nahitaji unisifu mimi tu kila wiki

 
ha ha ha huyu kumbe ndo kashikilia nywila anafanya watu wasipewe pole zao
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… itakuwa kweli
"muzdalifat bint katererooo" tunakuomba umuachie sasa ndugu yetu myoyambendi
myoyambendi ilikuwa muda wote wa mchana anakuwepo online.
lakini tokea amuoe binti wa kitanga ikifika saa 6 mchana anapandishwa kitandani kama mtoto mlemavu.

baby njoo ulale
baby nyoosha miguu niikoshe kwa maji ya mdalasini na hiliki
baby fanya nikupeleke chooni ukatoe haja ndogo.
baby yule rafiki yako msukuma humu ndani asije
baby nataka kutema mate
bay nataka pesa ya kubadilisha kitanda
baby
baby...
baby weeeee
baby mbona kitambi kimepungua
baby wanimalizaaa
baby
 
ha ha ha si mchezo unaambiwa myoyambendi hata akipiga miayo tu anaambiwa "baby pole"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…