Khaa hivi mbona siku hizi mimi na Lizarazu ni marafiki mno[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]yule mwanzoni ndiyo nilikuwa namuona wa ajabu but in time nikaja gundua kumbe ni mtu poa sana na mara ya mwisho tulikuwa tunachat tunacheka kwenye ule uzi wa
SweetieLee,, tulikuwa mimi, yeye, na
cute b tulikuwa tuna have fun yaani vile nilikuwa nawajibu comments hadi hawakuamini..
Wakaanza kuniambia eti hawakujua kama naweza kuwa cool kiasi kile walikuwaga wanajua siku zote niko serious kwa sababu ya yale magazeti yangu ya kubishana na wanaume[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]nikawaambia kiuhalisia mimi ni mpole na ni mtu wa matani mno ila basi tu humu huwa najichetua,, halafu ule uzi ndiyo ukawa uzi wa mwisho Lizarazu kucomment baada ya hapo ndiyo sijui akapotelea wapi tena..