Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
Ule Uzi naukumbuka vyema.
Kuna baadhi ya nyuzi nazo huwa tunachat kwa matani tu ila lazima tu tutakuwa tofauti na lizarazu...
Mfano mzuri Uzi wa siku zile tunamtetea yule dada.
Nyie Ni Marafiki ila lazima tu mchangamshe genge
Kumbe una kumbukumbu dogo [emoji7].Hahahaha ule uzi wa yule dada aliyekuwa anatafuta mpenzi akaweka vigezo buku kidogo??
Mie nimekuja kugundua Lizarazu anafanyaga makusudi tu kuongea shits kuhusu wanawake ila siyo kwamba eti anatuchukia!!