Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wengine hata lipstick hatumiliki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah
Mimi nilikuwa na kaka yangu anaitwa Furaha (RIP) na wengi ninaowajua ni wa kiume
Yuko na beberu [emoji125][emoji125][emoji125]
Salam kwenu..
Mungu atupe siku njema
Wacha wee,, kwahiyo na mwanaume mwenye ndoto za kuoa mwanamke mzuri wa sura na umbo ilihali yeye ni mbaya naye anahitaji maombi siyo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Kila muwamba ngoma huvutia upande wake"
Pumzika sasa kiongozi.
Umeshatimiza wajibu wako kiasi cha kutosha, kama kuna mahali unadhani hukufanya ipasavyo waachie wengine watamaliza.View attachment 1275786