Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shell Tanzania.
Hii ndiyo kampuni kubwa iliyo ongoza kwenye biashara ya mafuta nchini Tanzania miaka ya tangu uhuru mpaka mwishoni mwa miaka ya 70.
Wamiliki wa kampuni hii ambao pia walikuwa wanauza magari na vifaa vya kilimo, walijihusisha na siasa za ukombozi kusini mwa Afrika.
Mmiliki wa kampuni hiyo alifadhili shughuli za kiuchumi kwa iliyokuwa serikali ya kibeberu ya Zimbabwe, wakati huo ikiitwa Rhodesia iliyokuwa chini ya Ian Smith aliyekuwa akitawala nchi hiyo kibaguzi kwa hisani ya Uingereza.
Serikali ya Tanzania wakati huo, ikiwa Mwenyekiti wa nchi zilizo mstari wa mbele wa ukombozi kusini mwa Afrika, ilichukizwa na urafiki huo.
Hivyo Shell Tanzania na kampuni zake tanzu zilifukuzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…