Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wwooow.!! Shikamoo The don himself,[emoji137][emoji137]
[emoji28][emoji28][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji39][emoji39] Asante SYB kwa maua mazuri
Sijambo kaka
Za leo
Yep mkokaa, usiwe baba mkwe mkuda[emoji13]
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Mbona unatukata stimu ya weekend mkuu
Likizo yangu inakaribia kuisha, bado kidogo nimalizie mjengo wangu... Naamini mjukuu utakuja Mwakaleli kunitembelea baada ya kumaliza ujenzi huu...
Nimekukumbuka sana Depal [emoji120][emoji120]View attachment 1276337
Haki ya Nani mimi nitapata mlenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πππππ ππ πππ π€ππππ’
Jioni inaaga