Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bangi zingine nitamu sana..
AminaMungu akujalie maisha marefu na faida kwa wote wanaokuzunguka....
Wanaogopa majungu...
Nikiwa mkubwa sitaki kuwa na mashemeji.[emoji23][emoji23], shemelaa mambo[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Beautiful numbisa..
Bomu LA Nuclear
Duh uko kama Mimi siwapendi kabisa...Nikiwa mkubwa sitaki kuwa na mashemeji.
Ni wanafiki wa kwanza Hawa mabaharia.
Ndiyo.Duh uko kama Mimi siwapendi kabisa...
Unataka juisi ya miwa?Haki ya Nani [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndoa ni wewe na Mr tu wengine unafiki.Ndiyo.
Hawafai kabisa,huwa sipendi ushemeji wa kinafiki.
Itakuwa vyema nikiipata Maana Nina uoni hafifu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka juisi ya miwa?
Njoo nikupe ya miwa yangu. Nalimaga miwa mwenyewe na kukamua mwenyewe tena katika mazingira safi ajabu [emoji16][emoji16]Itakuwa vyema nikiipata Maana Nina uoni hafifu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila hiyo ya huyo sidhani Kama itanisaidia.
Ndoa ni wewe na Mr tu wengine unafiki.