moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nikiwa mkubwa sitaki kuwa na mashemeji.
Ni wanafiki wa kwanza Hawa mabaharia.
Ndoa ni wewe na Mr tu wengine unafiki.
Njoo nikupe ya miwa yangu. Nalimaga miwa mwenyewe na kukamua mwenyewe tena katika mazingira safi ajabu [emoji16][emoji16]
Kuna wanafiki wa Aina mbili.
Wa kwanza Ni hao walioelezewa hapo juu,
Wengine Ni wale ambao macho Yao Kama darubini kunasa maovu ya mume wangu na kuyaleta kwangu.
Wote siwahitaji..nikiwa mkubwa sitaki ushemeji wa kinafiki[emoji2]
Miwa ya koromije situmii.
Ina sukari mno[emoji85]
Nalimiaga hii miwa kwenye kimto hivi kina chemchemi nzuri na pamoja na utamu wake, juisi ya miwa yangu pia ina uchumvi chumvi kidogo kwa mbali. Uchumvi chumvi huu unakinza madhara yo yote yanayoweza kuletwa na utamu uliopitiliza wa sukari iliyomo. Hata kama una kisukari hii juisi yangu unatumia tu bila madhara. Njoo usiogope !!!
Nmewakumbuka humu ndani
Nawapenda sana
Ndio Kaka [emoji4][emoji4]. Asante sana....
Mimi sijambo bro. Huko kwako vipi? Umepotea sana. Ni chimbo limechanganya ama?Bro habari za uzima, majambo yanaenda ?
Mimi sijambo bro. Huko kwako vipi? Umepotea sana. Ni chimbo limechanganya ama?
"MUWAA... " [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Njoo nikupe ya miwa yangu. Nalimaga miwa mwenyewe na kukamua mwenyewe tena katika mazingira safi ajabu [emoji16][emoji16]