carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha hapana, halafu sina backup
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu baharia alijilia vyake bila hasara.
Ameeeen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wabarikiwe wadada wasiokula nauli Jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We acha tu kuchanganyikiwa kwake.....hata mm nishawahi kuikuta moja coverpage nikakukumbuka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mods wajinga sana.
Kuna mtu aliweka picha jf selfika kule akafuta ndani ya dk sifuri mods wakamsaliti,i felt her pain[emoji23][emoji23][emoji23]
King anakuwaga vizuri kwenye kupoteza ushahidi.
[emoji134]ngoja nikusaidie kutafuta penseli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]King anakuwaga vizuri kwenye kupoteza ushahidi.
#bringbackkingbae
[emoji23][emoji23][emoji23]acha tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We acha tu kuchanganyikiwa kwake.....hata mm nishawahi kuikuta moja coverpage nikakukumbuka.[emoji23][emoji23]
Wanakera sanaa sio siri...ila tuwe tunaitana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha tu.
Halafu siku hizi ndo wameona mchezo,wana bore wakati mwingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134]ngoja nikusaidie kutafuta penseli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]
#Bringback_King
[emoji23][emoji23][emoji23]Wanakera sanaa sio siri...ila tuwe tunaitana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#KufaKufaana[emoji23]
Njema sana wakishua,vacation wapi December.?
Nawaona wakishua mnaulizana habari za vacation[emoji23]
Mzima mama?Ankooo nakusalimiia, za hapo mwakaleli.?
Sawa wakishua.[emoji3][emoji3][emoji3]Aliyeanza ndiye mwenyewe huyo ujue [emoji23]
Unamaanisha??hakuna kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Mzima mama?
Kwa kweli huku mwakaleli Mungu anatusaidia kupata hitaji letu...
Sema tu vya mjini navikosa, yaani navikosa mno. Vile vinguo vya watoto mabinti wa mjini wanavyo vivaaga huku hamna... Mitikisiko hamna kabisa yaani
Mzima kabisa anko, hayo ya mjini hayaishi anko wangu muhimu kuzitafuta pesa halafu uje kuzitumia na hawa wa mjini, huku ukisafisha macho[emoji125][emoji125][emoji41]Mzima mama?
Kwa kweli huku mwakaleli Mungu anatusaidia kupata hitaji letu...
Sema tu vya mjini navikosa, yaani navikosa mno. Vile vinguo vya watoto mabinti wa mjini wanavyo vivaaga huku hamna... Mitikisiko hamna kabisa yaani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinifanyie hivoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakusikilza wewe Tu wakishua Embu fanya kama unanipa mwaliko hivi [emoji1549]
Zishikilie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thanks my young Sis 😍😍Happy Birthday Sis Kgothalo[emoji7]View attachment 1277235