Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Ahsante sana mpendwa ππ
Mzima mama?
Kwa kweli huku mwakaleli Mungu anatusaidia kupata hitaji letu...
Sema tu vya mjini navikosa, yaani navikosa mno. Vile vinguo vya watoto mabinti wa mjini wanavyo vivaaga huku hamna... Mitikisiko hamna kabisa yaani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unamaanisha??hakuna kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 1277267
Mzima kabisa anko, hayo ya mjini hayaishi anko wangu muhimu kuzitafuta pesa halafu uje kuzitumia na hawa wa mjini, huku ukisafisha macho[emoji125][emoji125][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinifanyie hivoo
Hahaha wakishua hadi wewe,,huku kwema,,habar za kwako?Ninge, TA kwemaa.?
Aisee,wewe mzee [emoji2][emoji2]Kwahiyo huyu ni Ningendako ???
Ankoo ushauri wako [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mzima kabisa anko, hayo ya mjini hayaishi anko wangu muhimu kuzitafuta pesa halafu uje kuzitumia na hawa wa mjini, huku ukisafisha macho[emoji125][emoji125][emoji41]
Kwamba watu wa mwakaleli hatuvai vizuri[emoji3525][emoji3525]Mzima mama?
Kwa kweli huku mwakaleli Mungu anatusaidia kupata hitaji letu...
Sema tu vya mjini navikosa, yaani navikosa mno. Vile vinguo vya watoto mabinti wa mjini wanavyo vivaaga huku hamna... Mitikisiko hamna kabisa yaani
Utaniharibia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Harakati Mungu anasaidia bro,vipi kwa upande wako?Kwema Bro vipi harakati za Mtu mweusi zinaendaje
Asante carba[emoji120][emoji120][emoji120]
Karibu tena
#endeleakufurahiauhuruwako
Hahah aiseeNdiwooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anko bhana hahaAnkoo ushauri wako [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mwaka jana wajinga fulani walinitupa sijui ndo Sinza, mtaji wangu wote wa maparachichi uliisha kwa siku moja.
Ahsante madalali wa mahakama ya ndizi Mabibo wakaniokoa kwa tiketi ya Rungwe express na chupa mbili za maji ya uhai.
Nimeshuka Tukuyu hoi na maroba yangu ya kubebea maparachichi...
Nimelipenda swali lako maana limekaa kiushauri shauri.Kwa Mfano akitaka kutumia na wewe Wakishua si inabidi awe na mahela mengi sana mauzo ya parachichi zake sidhani kama yanakutosha [emoji23][emoji1549]β[emoji3603]
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huku na huko mitandaoni
Cheki mkeka umetickView attachment 1277254
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ankoo bhana...Ankoo ushauri wako [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]