Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tena vibaya sana. Nadhani siyo baharia mzoefu...

Ubaharia ni kazi ya hatari. Mbali na papa na nyangumi bado kuna ma hurricanes, water spouts na mauzauza mengine kibao. Ubaharia hauwezi huyu [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23] amedandia fani za watu ona anavyoweweseka, pole yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…