moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wakati Mchezaji Anaama. Sasa Shabiki anajifanya anauchungu hadi kupigana ngumi. Timu yenyewe ipo Uingereza.
[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1277579
Huyu karibia atarudi nyumbani. Mianasiasa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1277580
Kuna watu wanaumia Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na Leo nimeangalia Moira..Tena nimebahatisha wakati tunatikisa nyavu[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Naanzaje kutokuja kwa mfano [emoji23][emoji23][emoji23]Keshafika....
Jizazi [emoji36][emoji36][emoji36][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Nataka kutengeneza movieZa nini sasa unataka
Keshafika....
Jizazi [emoji36][emoji36][emoji36][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hehehehe..naanza na Yule anayetuombea njaa muda wote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante sana.
Sasa ulingo ni wako, watese mpaka wateseke2[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hembu tuma Yale mapicha yetu ya wanaume wa kazi wasakata rumba wa livapuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulia kamanda ashangilie [emoji23][emoji23]
NIPO POA SANA AISEE
Timu haihamiki.Kingine unachotakiwa kushangaa shabiki hawezi hama team anayoshabikia
Kabisa yaani [emoji23]You 'll never walk alone View attachment 1277496
Kabisa yaani [emoji23]
Jamani wale mnaosubiri nitembee pekeyangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mtasubiri sana
Inabidi mtengeneze timu ya wachovu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]