Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Ni nzuri sana..karibu Christmas nitaiandaa πGiligilani huku Koromije hakuna sasa nitailia wapi? Hiyo miksicha ni nzuri?
Bro anazingua π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro bhana
ππππππππππ[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1279200
Mods wamegoma kumpumzisha[emoji23]Yan ni bampa tu bampa....[emoji23]
Jizazi. Hata wewe shem nimekuwa bro? Binti Mpole ndiyo anapenda kusema hivyo. Acheni !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro bhana
[emoji3][emoji3][emoji3] unazingua sanaJamani mi nilishakataa kuitwa bro. Nina dada mmoja tu hapa. Pulizi tusikwazane. Hizo brozone na friendzones mnazotaka kuniweka sitakiiiii [emoji351][emoji351][emoji351] [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23] najaKuna watu wanajua kugiftisha [emoji23][emoji23]
Fanya tu ukuje uone maajabu
Sanaaa[emoji23][emoji23][emoji23]Bro anazingua [emoji23]
[emoji23][emoji23]Jizazi. Hata wewe shem nimekuwa bro? Binti Mpole ndiyo anapenda kusema hivyo. Acheni !!!
Yaonekana kuna mod wana bifu sasa ameamua kula naye sahani moja. Rolo modo wangu hatishwi. Mod mwenyewe atamwaga manyanga tu evenchuale kabda apaniki atoe kifungo cha maisha kama kipo hapa JF...Mods wamegoma kumpumzisha[emoji23]
uhusiano wao umeshavunjika tokea wiki iliopita, inasemekana myoyambendi hakumualika kaka mkubwa moudgulf kwenye harusi yake....@myoyambendi ππ msalimie nduguyo @moudgulf
Nina dada wanne wananitosha. I don't need no moa sistazi kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3] unazingua sana
Muacheni myoya jamani apewe huba la kitanga[emoji23][emoji23]uhusiano wao umeshavunjika tokea wiki iliopita, inasemekana myoyambendi hakumualika kaka mkubwa moudgulf kwenye harusi yake....
chezea binti wa kitanga
Jirani na ukimya/upole wake wa "kisimba mwenda pole" hoiiiiii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Muacheni myoya jamani apewe huba la kitanga[emoji23][emoji23]
Pole baby ngoja nikubebe mgongoni[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1279396