capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Hujambo capitalpool, naona umerudishiwa nywila
Nikisikia hilo jina nahisi kunyong'onyea wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]Wapi Saint anne View attachment 1279573
Umeamua kukavaa hako kaandaeitini? Utakaweza? Good luckKama mnaenda kubeba ndoo sawa,ila sio kubeba kombe[emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji3][emoji3][emoji3] eti unanimiss mimi tu...unaniibia hadi mimi mhenga kweli?Sijambo Khantwe, nakumiss wewe tu hapa.
Nimekuwa busy tu ..
Vipi hali?
Ama unazima data au unakatia kwenye iginoa list halafu ukihisi may be sasa kamepoa unakafungulia. Wanyakyusa kwa kuongea kiboko [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] msimu huu tutateseka sana aisee,ndio maana Bro huwa anazima data kwa tambo hizi[emoji2][emoji2]
😀😀😀😀😀Kama kaoa wakorofi hatanenepa ng'o hata ahamishie makazi kwenye pipa la mafuta. Sana sana ataRIP mapema [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Wake wawili wote na wameshindwa kukunenepesha?