moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nikisikia hilo jina nahisi kunyong'onyea wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
insha'Allah Mungu atatupa uhai[emoji120][emoji120]
Huyu ningendako atanitambua mwakani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hizi zote trela tu.. namsubiri April nimjie na muvi lenyewe la kikorea
Kumbe ndo mchezo wako unaonichezea[emoji23][emoji23][emoji23]
Nasubiri ushindi wetu.
Kwa ajili Yake,nyie wote nitawaacha huru[emoji23].
Atawabebea msalaba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1279802
Hafu linatokea jitu linakuambia Hakuna kitu kitamu kama Mapenzi,,,, Hivi anaijua Hii kitu ya baridi kweli?
Huu uzi umenizoesha vibaya, najikuta nikiingia kwenye uzi wowote naanza kulike comments zote hata za kipuuzi, baadae nashtuka naanza ku-unlike
Salam kwenu wote..
Mungu atupe siku njema
Ananifukuza kiaina kwenye huu uzi,ila nasema hivi "SIONDOKI"Teh teh teh, ulikuwa hujui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]Huyu mdudu inawezekana ameshiba kiasi cha kutosha vinginevyo angeleta kilio mtaaniView attachment 1279990
Mimi nimeenda huko nimelike comments za watu.Siku za nyuma memba karibu wote wa uzi huu tuliteseka sana.
Nilimwaga likes jukwaa la siasa mpaka walinishangaa, [emoji23][emoji23] nikazifuta zote[emoji23]
Wakashangaa zaidi
Siku za nyuma memba karibu wote wa uzi huu tuliteseka sana.
Nilimwaga likes jukwaa la siasa mpaka walinishangaa, [emoji23][emoji23] nikazifuta zote[emoji23]
Wakashangaa zaidi
Mimi nimeenda huko nimelike comments za watu.
Baadaye narudi kusoma Hadi nikajuta[emoji3].
Dah halafu nilikuwa nimepitisha likes kwenye comments zaidi ya mia