moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]
Haya mambo ya kutisha yatanitoa roho kwa presha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila weweHahaha [emoji23]pole mkuu, watu waliona kama gari la benki limeangusha viburungutu
Naogopa[emoji24][emoji24][emoji24]Nyoka wa kwenye simu hali mtu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ananifukuza kiaina kwenye huu uzi,ila nasema hivi "SIONDOKI"
[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wewe
Hahaha [emoji23]pole mkuu, watu waliona kama gari la benki limeangusha viburungutu
Dah
Huku nimefwata livapuu tuKwani ulimfuata yeye [emoji23][emoji23]
Unamjua? [emoji86]Huku nimefwata livapuu tu
Sema kipindi naingia humu nilikuwa namjua yeye tu.
namjua kwa Maana ya kukutana naye kwenye nyuzi nyingine[emoji23].Unamjua? [emoji86]
Hivi huwa anatembea na sehemu zingine? Mbona mimi sijawahi kumuona [emoji3][emoji3][emoji3]namjua kwa Maana ya kukutana naye kwenye nyuzi nyingine[emoji23].
Nilishawahi kutana kwenye Uzi huko.
Wengine sijawahi kutana nao kwenye nyuzi nyingine
Mara moja moja anatembea[emoji3]Hivi huwa anatembea na sehemu zingine? Mbona mimi sijawahi kumuona [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole sana,Huu uzi umenizoesha vibaya, najikuta nikiingia kwenye uzi wowote naanza kulike comments zote hata za kipuuzi, baadae nashtuka naanza ku-unlike
[emoji23][emoji23][emoji23] ishanikuta sana hiyo hali,Halafu nimeenda kumwaga likes kwa Uzi hata haueleweki[emoji23]
Wanaonijua watakuwa walinishangaa bure
Pole jamani...Halafu nimeenda kumwaga likes kwa Uzi hata haueleweki[emoji23]
Wanaonijua watakuwa walinishangaa bure
[emoji28][emoji28][emoji28]