Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh!!
 
Mimi kuna huyo mmoja alinizungushaga sana hadi nikamnyang'anya simub[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna fundi alikaa na nguo ya mama yangu mdogo mwaka mzima..nilipomwendea sikuondoka..
Na Wana tabia moja,ukifika ndo anajidai anaichukua ashone.
Akaichukua akaanza kushona nimekaa namsubiri.
Mara Anasema anaenda sokoni nikamwambia nenda tu utanikuta.
Akaenda,akaniletea soda..imefika jioni akapika chakula tukala,,nipo siondoki.
Aliimaliza kushona saa7 usiku.
Nilimwambia Leo siondoki Bila nguo.
Alikuwa anashonea nyumbani kwake.
 
Wanakera sana [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…