Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
mabaya aiseeMambo?
Tupo kamanda
Watakuja tu wape muda [emoji16][emoji16]mabaya aisee
hamjanitendea haki kabisa nimekuja na mizuka ya kumwaga likes nakuta page 8 tu?
😬😬 wafanye chap kabla nywila hazijachakuliwa na wenye mamlakaWatakuja tu wape muda [emoji16][emoji16]
vipi unanialika sembee kama moudgulf?
Saint anne amesababisha binti mpole ajipigishe ban,mabaya aisee
hamjanitendea haki kabisa nimekuja na mizuka ya kumwaga likes nakuta page 8 tu?
sembe inaliwa mchana saa hizi ni kahawa na kashatavipi unanialika sembee kama moudgulf?
itakua kuna Mod ana bifu na andaeitini wetu "Ester"Saint anne amesababisha binti mpole ajipigishe ban,
si unajua tena man utd bureee imetoka suluhu juzi.
na humu ndani binti mpole ndiye messi wetu
wewe ndiye unaefahamu maisha ya watu wa pwani...sembe inaliwa mchana saa hizi ni kahawa na kashata
inawezekana esterification reaction ni bangi moto kama babu yakeitakua kuna Mod ana bifu na andaeitini wetu "Ester"
hao ni wasukuma akina SYB tena wanaita Ngunawewe ndiye unaefahamu maisha ya watu wa pwani...
kuna wahuni muda huu wanashindilia sembe kwa chupa ya pombe
inabidi ahame chama na aanze kuunga mkono juhudi za Mods ili awe huru asipigwe baninawezekana esterification reaction ni bangi moto kama babu yake
walichokifanya ni kuibadilisha jina.hao ni wasukuma akina SYB tena wanaita Nguna