D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
swadaktainabidi ahame chama na aanze kuunga mkono juhudi za Mods ili awe huru asipigwe ban
mbona leo hatujapata MENU ya vyakula mbalimbali kutoka huko visiwanswadakta
ukiona adui yako ana nguvu hamia upande wake japo kinafiki
Acha tu Bro hawa mafundi pasua kichwa sometimes [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe sis na upole wako huo? Kenti bilivu [emoji16][emoji16]
kuna watu humu wanachukizwa na zile updates.mbona leo hatujapata MENU ya vyakula mbalimbali kutoka huko visiwan
bado sembe na konokono bei ipo juu au imeshuka
😬 😬 😬 wanaweza waka ku Esterificationkuna watu humu wanachukizwa na zile updates.
kibaya zaidi watu hao ndio wameshikilia mpini kwenye utawala huu wa awamu ya 10
habari yakoHello
😀 😀 😀 hawachelewi kukutoa utumbo wa mbele😬 😬 😬 wanaweza waka ku Esterification
Pole....mabaya aisee
hamjanitendea haki kabisa nimekuja na mizuka ya kumwaga likes nakuta page 8 tu?
Nguna ni nini nawe mjukuu wa Goliath? Nimwite kijana Daudi na kombeo lake? [emoji16][emoji16]hao ni wasukuma akina SYB tena wanaita Nguna
Huyu nae amejinyonga?