Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Adut Akech
Big up Mkuu
 
Unaweza kuta zali limekudondokea
Zali la mentali eeeh!?

Ni kucheka tu na hawa maandaeitini bro. Na uhenga huu mi sawa tu na jibwa likibogoyo. Mifupa hii minono yenye nyama tamu nitaiweza wapi? Tushawaachia nyie bro...ni wakati wenu sasa kwenda huku na huko na kuijaza dunia. Hata kwenye chombo lako huko hakikisha unaacha kakiumbe huko [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Alikuwa kibonge...

Nasikia hata huko ACT kumeanza figisu figisu msaliti Zitto kabana kila kona rais wa mioyo hana pa kupumulia...2020 loading !
 

Hao watoto wanapenda asali, hawapendi ukali na sehemu pekee kwenye asali ni kwenu bro sisi ukali mwingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…